Rais wa Somalia, Sheikh Sharif Sheikh Ahmed, ametoka kwenye mazungumzo
yanayofanywa mjini Nairobi, Kenya, yaliyolenga kutekeleza katiba ya Somalia
iliyokubaliwa hivi karibuni.
Wanasiasa waandamizi wa Somalia wanaendelea kuzungumza juu ya namna ya
kumchagua rais mpya na spika.Mazungumzo yanatarajiwa kumalizika ufikapo mwisho wa mwezi huu.
0 Comments