Katikati ni Rashid Matumla akipima uzito wake (kilo 76) mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Kushoto ni promota wa pambano hilo, Siraji Kaike na kulia ni daktari, Michael Abraham na Maneno Oswald.
Katikati ni bondia Maneno Oswald akipanda kwenye mizani kupima uzito wake (kilo 56).
Mmoja wa kati ya mabondia watakaosindikiza pambano hilo, Venas Mponji akipima uzito.
0 Comments