Bw. Godson Luya, mkazi wa kata ya Terati wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika kata hiyo hivi karibuni.
Wakazi Laiboret - Wakazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wakifuatilia mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wilayani hapo hivi karibuni.
0 Comments