Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba leo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimjuapisha Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahoda na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange katika picha ya pamoja na Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga



 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wakuu wa vikosi vya Ulinzi na Usalama na waapishwa


 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha pamoja na Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba na familia yake baada ya kiapo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga na familia yake baada ya kiapo.Luteni Jenerali
Ndomba, aliyekuwa Mkuu wa JKT, anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Luteni Jenerali Abdulrahman A. Shimbo ambaye amestaafu Jeshi kwa mujibu
wa sheria baada ya kufikisha umri wa miaka 60.




Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga alikuwa Mkuu wa Utawala na Mafunzo wa
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).