Tunaelekea mwishoni mwa wiki,Lakini swala la kuwahi kazini na nidhamu katika kazi ni muhimu sana
sana kama tuwaonavyo wenzetu akina Ras Makunja (pichani) kabla ya muziki kuanza lazima nidhamu
iwepo pamoja kuwahi kazini !