Wanachama wa MRC wanaotaka kujitenga na Kenya
Kesi yake itaanza kusikilizwa tarehe kumi na tatu mwezi Novemba.
Sheikh Dor ambaye amelaani msako unaoendelea wa polisi dhidi ya kundi hilo
mjini Mombasa, alisema kuwa kundi hilo ambalo mahakama ilisema kuwa sio haramu,
kwa mtu kuamua kulifadhili sio kosa.
Dor ni mmoja wa wabunge kumi na wawili wa Kenya ambao hawakuchaguliwa ingawa
waliteuliwa kuwakilisha maswala kadhaa bungeni. |
0 Comments