RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKANISA YALIYOHARIBIWA KATIKA VURUGU ZA WAISLAMU MBAGALA, ATOA POLE KWA WAUMINI, AWAHAKIKISHIA MKONO WA SHERIA KUWANASA WOTE WALIOHUSIKA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Askofu Msaidizi wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Dar es salaam na Pwani Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.
Ndio maana tunasema kama nchi inendeshwa na mfumo kristo, kwa sababu waislamu walipigwa mabomu ndani ya msikiti pale mbuyuni na watu waliumia vibaya lakini hakuna kiongozi aliyetoa mkono wa pole, waislamu walipigwa mabomu ndani ya msikiti Mahonda Unguja na watu walijeruhiwa vibaya na hakuna kiongozi aliethubutu kufumbua mdomo wake leo kanisa limeunguza moto na hakuna mtu alieumia rais amekwenda kutoa mkono wa pole, lakini wajue tu kwamba Allah hajalala anayaona yote yanayotendeka na siku ya kulipana itafika tu
1 Comments