Balozi mdogo wa China Madam Chein Qiman akizungumza na Waandishi wa habari hawapo pichani Ofisi kwake Mazizini Zanzibar kuhusu Mipango ya Serikali ya China kuisaidia Zanzibar na Afrika kwa ujumla.
Balozi mdogo wa China Madam Chein Qiman kati kati akizungumza na Waandishi wa habari Ofisi kwake Mazizini Zanzibar kuhusu Mipango ya Serikali ya China kuisaidia Zanzibar na Afrika kwa ujumla.
Mwandishi wa gazeti la Dailynews Bwa. Issa akiuliza swali katika mkutano huo wa Balozi mdogo wa China Madam Chein Qiman alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari Ofisi kwake Mazizini Zanzibar kuhusu Mipango ya Serikali ya China kuisaidia Zanzibar na Afrika kwa ujumla
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliokuwepo katika Mkutano wa Balozi mdogo wa China Madam Chein Qiman alipokuwa akizungumza nao Ofisi kwake Mazizini Zanzibar kuhusu Mipango ya Serikali ya China kuisaidia Zanzibar na Afrika kwa ujumla.(Picha zote na Abulla Ali-Maelezo Zanzibar).