Mkongwe wa ndondi Iraki Hudu (katikati)akizungukwa na vijana wa ndonozz.

 Bondia Mkongwe Iraki Hudu(mwenye miwani) na Mwanae Dani Hudu.
Bondia Mkongwe Iraki Hudu ni moja wazazi waliokuapo katika afla ya Nondoz UDOM.

Bondia Iraki Hudu nae alikuapo kushuhudia mwanae Dani Hudu akichukua Nondozz! Udom,

Ni juzi tu kule mjini Dodoma katika shamra shamra za wasomi wa Chuo Kikuu cha Dodoma aka
UDOM, katina baadhi ya wasomo walio chukua Nondoz kijana Dani Hudu, ni mojawapo ya wahitimu
hao.Wazazi ndugu na marafiki wa wasomi pia walishiriki katika shangwe hizo za kula Nondozzzz!
Moja ya wazazi hao alikuwapo bondia mkongwe Bw.Iraki Hudu ambaye ndiye baba mzazi wa
dogo Daniel Huddu amechukua degree of . Geography and environmental studies,university of dodoma, tanzania
Hongereni sana wasomi wa Udom na wazazi wote