Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa Israel
kukomesha mara moja mashumbulizi yake dhidi ya Gaza, huku mashambulizi hayo
yakiendelea kwa siku ya sita mfululizo.
Ban Ki-moon alisema kwamba anaelekea mjini Cairo ili kujiunga na mazumgumzo
yatakayojadili vile mapigano hayo yanaweza kusitishwa angalau kwa muda. |
0 Comments