Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Vietnam Truong Tan Sang,alipofika Ikulu ya Nchi hiyo akiwa na ujumbe wake katika ziara rasmi ya kiserikali ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya pande mbili hizi. Picha na Ramadhan Othman.