Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Afrika kusini, Mhe. Thabo Mbeki Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya jana Novemba 22, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais Mstaafu wa Afrika kusini, Mhe. Thabo Mbeki baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya jana Novemba 22, 2012