Afisa habari wa mkoa wa Dar es salaam Bi. Adrofina Ndyeikiza akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kwa niaba ya mkuu wa mkoa huo kuhusu maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kimkoa yatafanyika katika uwanja wa Biafra, Manispaa ya Kinondoni. Kulia ni Mratibu wa Ukimwi wa Mkoa wa Dar es salaa kutoka TACAIDS Bw. Omary Chambo. |
0 Comments