Tofauti kati ya kipindi cha jua (summer time) na kipindi cha baridi (winter time) kwa nchi za ulaya unaweza kushangaa kidogo kama hujabahatika kuwepo katika sehemu husika.pichani kushoto ni kipindi cha jua kali na picha ya kulia ni kipindi cha baridi na mvua,tofauti na bara la Afrika kukiwa jua kali majani hupukutika na kipindi cha mvua na baridi nyasi huwa nyingi. |
0 Comments