Haya ndio maisha ya jela....kwa vijana wenzangu wenye tamaa za maisha ya harakaharaka,wenye kubaka watoto wa wenzao,wenye kuibia wenzao,wenye kutishia silaha wenzao,wenye kupiga wanawake,wenye kunyanyasa watoto,wenye kuwapa ujauzito wanafunzi na makosa mengineyo..Haya ndio maisha ya jela.