Raia wa China wakishangilia kuona mwaka mpya 2013..hongereni wachina kwa kuuona mwaka 2013  tunategemea mapya kwenye teknologia toka kwenu,Ia tu msitufyatulie vitu fake.

Kama kawaida nchini Austaralia mambo kwao huwa bombaa kama mjioneavyo pichani.Usiku wa saa sita utasema mchana kwa jinsi kunavyowakawaka kwa taa na flash za rangi mbalimbali.Hongereni watu wa Australia kwa kuuona mwaka 2013,Ila jitahidini kulegeza masharti ya viza ili mpate wageni wa kuwatembelea nchini kwenu.