Pichani ni couples ambao walihudhuria sherehe za bwana Hija na mkewe bi Halima(walio katikati),toka kushoto mwenye t~shirt ya kijani ni ndugu Salum Meja na kulia kabisa mwenye gauni ya blue ni bi Faiza ambaye ni mke wa Salum Meja.
 Toka kushoto ni ndugu Bim,bwana Hija,Mrs Halima Hija,na Mrs Mariam Bim
Baadhi ya ndugu,jamaa na marafiki waliofika kumpongeza ndugu Hija na mkewe Halima kwenye sherehe za miaka 5 ya ndoa yao.