![]() |
| Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao dhidi ya Aston Villa hapo jana baada ya kuwapa zawadi ya X-Mass na mwaka mpya baada ya kuwachabanga goli 8-0 |
![]() |
| Patrice Evra akiandika bao la kwanza kwa timu yake ya Manchester United kwa njia ya kichwa. |
![]() |
| Mchezaji wa Swansea City Michu akishangilia bao lake la kusawazisha dhidi ya Manchester United hapo jana.. |



0 Comments