Kuna baadhi ya watu huwa wanaathirika na baadhi ya vitu bila kujijua..kuna walevi wa pombe hao wanaeleweka,kuna walevi wa madawa ya kulevya nao pia wanaeleweka..ila kuna hawa watumiaji wa computer kupita kiasi mpaka wanakuwa Addictive.Muangalie huyu jamaa kwa jinsi anavyoipenda laptop mpaka jikoni anaona kupika bila kuwa nayo atakosa mengi...wewe je msomaji sio mmoja wao kati ya waathirika wa mitandao?
0 Comments