Kuna baadhi ya vijiji nchini Nigeria utakutana nao watu wa aina hii,ukimcheka tu una risasi za kichwa.
Kuna mila na tamaduni zingine ni hatari sana hapa duniani.Angali jinsi mdomo ulivyofanywa,angali usoni jinsi alivyojipaka rangi na kingine hayo makonokono shingoni mmh...kazi kwelikweli.