Wapiganaji wa Al Shabaab sasa wametorokea Kusini mwa
Somalia.
Maafisa kutoka jimbo lililojitenga la Puntland nchini Somalia
wamesema kuwa wanajeshi kumi na mbili wa serikali ya Somalia wameuwawa na kundi
la wanamgambo wa kislaamu la Al shabaab katika eneo la milima ya Galgalo
0 Comments