Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na mmoja wa wagonjwa wa wodi ya Mifupa aliyelazwa kabla ya kukabidhi msaada wa vifaa vilivyotolewa na wasamaria wema,Zanzibar. |
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimkabidhi Muuguzi dhama wa wodi ya Mifupa Bibi Afsa Abdulla msaada wa vitanda 24, magodoro na mashuka yake kwa ajili ya wodi hiyo. |
0 Comments