Msikilize kijana mdogo Junior The Legendary akishusha mistari ndani ya nyimbo yake ya ``Am sorry``akimshilikisha mwanadada mwenye sauti nzuri Lena na kijana Romilio..wasikilize na ukubaliane na ukweli wa uzuri wa sauti na nyimbo nzima.

Bonyeza kitufe cha alama ya Play chenye rangi  ya kijani hapo juu kushoto.