Pichani bidada Almada akitabasamu na huku akisubiri kwa hamu kubwa kusheherekea vyema mwaka mpya 2013 siku chache zilizopita.nyuma ya bidada Almada mwenye kamba nyeusi shingoni ni shemeji yangu bwana Hussein Hassan naye akitabasamu kuusubiri mwaka mpya.Mambo yalikuwa ndani ya jiji la Sao Paulo nchini Brazil..
Barabarani mambo yalikuwa ni full kujiachina na bidada Almada kwa mbali akiwa amepiga pini ya nguvu kwa mumewe Hassan Hussein ndani ya Sao Paulo Brazil..
Baada ya kuukaribisha mwaka kwa usalama mambo yakaja hivii.. yani hapo udugu sio kufanana bali udugu ni kukutana na kupeana mawaidha mawili matatu ya mwaka mpya..kama ujioneavyo pichani waungwana wamejiachia vilivyo kwa makuku na vinywaji baridi..Mambo yote haya yalikuwa ndani ya jiji la Sao Paulo nchini Brazil