Mgeni rasmi katika tamasha hilo ambaye pia ni Meya wa Ilala, Mhe. Jerry Slaa akiwasabahi mashabiki.
Mastaa wa filamu wakiwa jukwaani kuwasalimia mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
 |
| Shamsa Ford akisema na mshabiki. |
 |
| Richie naye akionyesha ufundi jukwaani. |
 |
| Dk. Cheni na mwanadada wakienda sambamba. |
 |
| Mrisho Mpoto akiwapa raha mashabiki. |
Bi. Mwenda akiwa kapagawa na shangwe za Dar Live.
Mrembo Jacqueline Wolper akiwapa 'hi' mashabiki.
Jacob Steven 'JB' akionyesha umahiri wake wa kusakata rhumba wakati wa tamasha hilo.
 |
| Steve Nyerere naye akionyesha manjonjo yake stejini. |
Snura Mushi akiwapagawisha mashabiki.
 |
| Snura na wanenguaji wake wakilishambulia jukwaa. |
Scorpion Girls wakizidi kupagawisha.
0 Comments