Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya
Dunia kwa Nchi za Tanzania,Uganda na Burundi,Philippe Dongie,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na Rais, leo
.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya
Dunia kwa Nchi za Tanzania,Uganda na Burundi,Philippe Dongie,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]