Watumishi Wanawake wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya pamoja nje ya
ofisi za wizara hiyo kabla ya kuanza maandamano kuelekea katika viwanja
vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam. Aliyevaa koti mbele
ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa wizara hiyo, Lilian
Mapfa.
(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI -WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)
|
0 Comments