Habari zilizotufikia mda mfupi uliopita ni kwamba msanii mkongwe wa taarabu FATMA BINT BARAKA nchini Tanzania almaarufu kwa jina la BI KIDUDE amefariki dunia kutokana na maradhi yaliyokua yakimsumbua kwa muda mrefu.
Kwa taarifa zaidi kuhusu mazishi utazipata kadri habari zitakapotufikia.
                         Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi aamin...!!
Fatma Bint Baraka Enzi hizoo za ujana wake....Bi kidude umetangulia nasi tunafuata.

                                INNALILLAH WAINNA ILAIH RAJUUN.