Watanzania na wana East Africa kwa ujumla mkae mkao wa kula kwa kupata mambo mapya katika tasnia ya Movie za Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi.Mtegemee kuwaona wasanii wapya wenye vipaji na mvuto katika uchezaji wa filamu.
Maganga One team na Director mpya ambaye pia ni mtunzi wa filamu hii itakayokuwa na mafundisho ya kila aina Hija Salehe wanakuahidi kukuletea ladha mpya kabisa katika filamu za Kiswahili.
Lini itatoka filamu hii? jibu la swali hili utalipata hivi karibuni kupitia mtandao wako huu wa Maganga One Blog.

Pata kionjo cha Trailer la Movie hii hapo juu...
                                                                 Maganga One.