![]() |
| Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa akiongea wakati wa Kongamano la uzinduzi wa Kanda ya Pwani lililofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Hotel ya Blue Pearl- Ubungo Plaza |
![]() |
| Wana Chadema wakifuatilia kwa makini kongamano hilo. |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani (Chadema), Mabere Nyaucho Marando (kulia) akifuatilia kongamano hilo. |

.jpg)
.jpg)
0 Comments