``SI HASA`` ni SIASA... Pichani kushoto ni Rais mpya wa Kenya Muheshimiwa Uhuru Kenyatta akifuatiwa na makamu wake William Ruto na aliyekuwa mpinzani mkubwa kabisa wa rais Kenyatta bwana Raila Odinga pamoja na Kalonzo Musyoka wakifurahi kwa pamoja hapo jana katika Ikulu ya Kenya.Kwa msioijua siasa ni nini hii sasa ndio siasa,Jenga nchini kwa amani na masikilizano,hakuna kupigana wala kusumbua wananchi.Hongereni wakenya kwa kumaliza salama uchaguzi wenu. Jumapili njema.