Mwili wa marehemu Nyaga Mawalla ukiwa katika kanisa la Kilutheri nchini Kenya usharika wa Uhuru Highway kwa ajili ya misa.

Familia ya Marehemu Nyaga Mawalla wakiwa wenye simanzi nzito wakati wa mazishi hayo.

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe, Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Lazaro Nyarandu na Sir George Kahama wakiwa kanisani wakishiriki misa ya maziko ya marehemu Nyaga Mawalla.

Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini Chadema, Mh Godbless Lema (wa tatu kushoto) naye alikuwa ni miongoni mwa waombolezaji waliohudhuria mazishi ya Mawalla.



Jaji Mark Bomani naye alikuwa ni miongoni mwa waombolezaji walioshiriki mazishi hayo.