Kamanda Ras Makunja aka Field-Marshal(FFU), wa Ngoma Africa Band aka FFU,
katika gwanda za gwaride !


Inasemekana Kikosi kazi cha  Ngoma Africa band aka FFU Ughaibuni ,aka wazee wa bongo tambarare ukipenda "Watoto wa mbwa " chini ya kamanda Ras Makunja aka field-marshal, aka King of Anunnaki Empire (pichani), wameshatoka kambini,na wapo tayari tayari kwa gwaride katika majukwaa ya kimataifa,pia inasemekana kamanda wao kapandishwa cheo kama anavyoonekana !
Katika kambi yao FFU Camp at www.ngoma-africa.com pia kumepigwa soup soup na virungu vya muziki kama kazi vinasikika at www.ngoma-africa.com