Mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez
ameomba radhi kutokana na kitendo chake cha kumng'ata mkononi beki wa
Chelsea Branislav Ivanovic wakati timu hizo mbili zilipocheza jumapili
jioni kwenye mchezo wa ligi kuu soka nchini Uingereza.
Ivanovic akimuonyesha mwamuzi alivyong'atwa:
0 Comments