Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba msanii wa Bongo flava Albert Mangweair pichani amefariki dunia.
Chanzo cha kifo chake na mengineyo yatawajia pindi ukamilifu wa habari utakapokamilika.Rest in Peace msanii wetu.

 



Nyimbo hii ndiyo iliyowahi kumpa umaarufu hayati Mangweair.rest in peace jembe.