Kutoka uwanja wa Taifa mjini Dar es salaam dk ya 70 YANGA 2 -SIMBA 0.
Goli la kwanza la YANGA limefungwa na Didier Kavumbangu na goli la pili limefungwa na Hamis Kiiza.Simba mmmmhhh Yanga Nomaa..