YANGA ikitokea PEMBA leo imefanya vitu vya kudhihirisha kwamba ubingwa ilioupata sio wa kubahatisha pale ilipoipa kichapo cha kuirudisha Simba msituni kwa kuipa bakora 2 bila majibu.Mpira umekwisha na YANGA 2-0 SIMBA..Yani leo SIMBA BONYEEEEEEEEE....!!!