Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe (kulia) akimkabidhi dhamana Mhe. Emmanuel Ole Naiko aliyeteuliwa
na serikali ya Botswana kuwa balozi wake wa heshima hapa nchini.