La Familia..kutoka kushoto ni sister Zakia na mumewe,kati ni Mrs Hasheem na kulia ni Dj Key na mkewe
| LA FAMILIAAAAAAA |
| Wageni waalikwa toka kila pembe walihudhulia sherehe hiyo ya miaka 26 ya ndoa ya Hasheem na Mya |
| Allah awaongoze kwa kila la heri in sha Allah....God Bless U all |
Waaawww Sexy mama nae alikuwepo kwenye sherehe za miaka 26 ya ndoa ya Hasheem na Mya..
| You Deserve Hongera sana tena sana Brother |
| The Gentleman bro Hasheem. |
| Mr n`Mrs Hasheem wakiwa na watu wao wa karibu sana.. |
| Wageni waalikwa wakiwa makini kusikiliza kila kilichoendelea ukumbini hapo.kwa wingi wa picha na matukio yote mtayapata hapahapa siku chache zijazo. |
0 Comments