Mzee Said Sleyyum kulia mwenye kanzu nyeupe akiwa na wageni wake akiwapa maelezo na jinsi ya utalii wa nyumbani unavyokwenda
 Wakati safari inaanza kufika katikati ya safari mambo yalikuwa kama ifuatavyo...ilibidi akili ya ziada itumike kutengeneza tairi ili safari iendelee.
 Mwenyewe unajionea sahani zilivyonona
Wakiwa ngorongoro utaratibu wa mabegi huwa hiviii