Pichani ni Naibu waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu (Katikati) akiwa na mbunge wa Arusha mjiniMh. Godbless Lema na (Wa pili kulia) ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Maggesa Mulongo wakati wakikabidhi misaada ya kibinadamu kwa wahanga wa bomu kwenye hospitali ya St.Elizabeth jijini Arusha.