Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemuhukumu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda kifungo cha nje cha mwaka mmoja. Katika kipindi chote cha hukumu, Sheikh Ponda ametakiwa kuwa mlinzi wa amani.