![]() |
Wakali wa Hip Hop walioingia Tatu Bora. |
![]() |
The Vodacom Mic King 2013, Martin Fundi, akishangilia baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa gari aina ya Toyota Funcargo (new model) usiku wa kuamkia leo Dar Live. |
![]() |
Martin Fundi akimshukuru Mungu baada ya kutangazwa mshindi. |
![]() |
Warembo 'waki-show love' kwa mshindi wa gari, Martin Fundi. |
0 Comments