Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Madakatari wa Kichina waliofika
IKulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa
kazi,ambapo walikuwa wakishirikiana na Madakatari wazalendo katika
kutoa huduma mbali mbali kwa wagojwa katika Hospitali za Unguja na
Pemba.

Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Madakatari wa
Kichina waliofika IKulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais baada ya kumaliza
muda wao wa kazi,ambapo walikuwa wakishirikiana na Madakatari
wazalendo katika kutoa huduma mbali mbali kwa wagojwa katika Hospitali
za Unguja na Pemba.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]