Waungwana wa Maganga One Blog kutokana na uchovu wa mwili na akili nawaomba nijipumzishe kwa siku mbili tatu kabla sijarudi tena jukwaani kuwaletea habari na matukio mbalimbali duniani.

Nimependelea kuwapa taarifa kama ilivyo kawaida yangu pindi nikikaa bila kuwaletea habari.tutaonana hivi karibuni baada ya kupata unafuu wa uchovu wangu.natumaini kabisa watu wangu mtanielewa na kunivumilia.natanguliza shukrani kwenu.asanteni.
                              Maganga One.