Wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali waliohudhulia sherehe hizo
 Ngoma za Kirundi ambazo ziliburudisha watu siku ya ufunguzi wa sherehe hizo
                             Vijana wa Kirundi wakirindima vilivyo kwenye stage...
Raha ya burudani hii ni pale watoto wa Kirundi walivyokuwa wakiruka juu huku wakicheza vizuri
Wageni waalikwa wakiendelea kuangalia burudani iliyokuwa ikiendelea jukwaani
          Wageni toka sehemu mbalimbali wakifurahia burudani jukwaani
Msanii Ally Khamis ambaye alikuwa kinara siku ya sherehe hizi,pichani akipata msosi kabla ya kupanda jukwaani.
Burudani ya kina kaka kutoka Burundi ikiendelea vyema kuwapa raha watazamaji waliofika kwenye sherehe hizo
 Mzuka ulipopanda mmoja wa wachezaji wa Kirudi aliruka toka jukwaani mpaka kwenye floor akiwapa burudani watazamaji kama ujioneavyo.
Mabinti warembo ambao ndio walikuwa wapambaji wa sherehe hizo kama Mc wakitoa maelezo nini kinafuata kila baada ya tukio.
 Haikuwa Burundi tu pichani ni madada toka nchini Rwanda wakilitawala jukwaa kwa burudani safi
                 Burudani ya ngoma za Kinyarwanda ikipamba moto jukwaani
Mmoja wa waandaji wa shughuli hii Azza Yusuf kushoto akijaribu kubadilishana mawazo na mgeni mualikwa
           Burudani ikiendelea na kinamama wakijimwayamwaya
Msanii Ally Khamis aliyenogesha shughuli siku hiyo kwa nyimbo zake ambazo baadhi ya watu waliomba zirudiwe kila mara,pichani akiwaburudisha wageni waalikwa kwa muziki wa mwambao wa pwani.
Kina mama waliweka mduara na kuimba kwa pamoja..pichani Ally Khamis akiwa jukwaani kuwapa burudani waalikwa waliofika katika uzinduzi wa sherehe hizo.
 Ally Samba akiongoza kikundi cha Burudani toka Burundi kuingia ukumbini
Lengo la ufunguzi wa Umoja wa waafrika ni kusaidia baadhi ya nchi za Africa mojawapo ikiwemo na Tanzania
Lengo la ufunguzi wa umoja wa waafrika ni kusaidia baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo na Congo
Lengo la ufunguzi wa umoja wa waafrika ni kusaidia baadhi ya nchi za Afrika ikiwepo na Burundi
           Wageni waalikwa wakiendelea kupata burudani mbalimbali
Mmoja wa watu aliopeleka burudani kupendeza ni Ashraf pale alipopewa mic na kuimba vyema huku akipigiwa makofi na waalikwa.
                          Kubadilishana mawazo kulichukua nafasi..
                                               Vyakula vya kiafrika
                                                 Burundian`s Ladies
                                   Mr and Mrs Balles wakiwa na Mr Rachid
                                                     Wageni waalikwa
                              Waalikwa wakiendelea kuburudika
 Burudani ikiendelea huku waalikwa wakiwa na shauku ya kuona kila jambo jukwaani
Wageni waalikwa
 
 Mama Karim kushoto akiwa na mzee Balles wakibadilishana mawazo
                                Juma Mvuvi kushoto akiwa na Samir
 Pasua kichwa kushoto na ustadh Mohammed pia walikuwepo
Dj`s wakiwa mitamboni....

Tunawashukuru wale wote waliofika siku hii ya ufunguzi wa Umoja wetu wa Waafrika Mol.