![]() |
| Mratibu wa Utamaduni wa Goethe Institut-Tanzania, Daniel Semheho (kulia) akiteja jambo na kiongozi wa kundi la Super Maya Baikoko Juma Nassoro (kushoto) katikati ni Mzungu Kichaa. |
![]() |
| Godzilla mzigoni. |
![]() |
| Ben Pol akipagawisha. |
![]() |
| Msanii Nyemo akifanya vitu vyake stejini. |
![]() |
| Barnaba na bendi yake. |
![]() |
| Jhiko Man. |
![]() |
| Super Maya Baikoko kutoka Tanga wakifanya vitu vyao kwenye Tamasha la Siku ya Muziki Duniani lililonyika juzi (Ijumaa) kwenye Viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam. |








0 Comments