Bondia Mtanzania Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Australia (kulia) akinyooshwa mkono juu kuashiria ushindi wake baada ya kumtwanga  Ekkalak Saenchan  wa Thailand kwa KO raundi ya kwanza.
Bondia Mtanzania Omari Kimweri akimsukumia makonde mazito mfululizi bondia Ekkalak Saenchan wa Thailand na kufanikiwa kumtwanga kwa kwa KO raundi ya kwanza mwishoni mwa wiki iliyopita.