Pichan Eddy kushoto kabisa akiwa pamoja na vijana wadogo ambao wanashirikiana vyema katika kurudisha amani nchini Burundi kwa njia ya michezo.kikundi hiki cha michezo kinachomilikiwa vyema na mmoja wa wananjeshi nchini humo kipo katika mikakati mizuri zaidi katika kutoa vipaji vya wachezaji wa kimataifa duniani.Eddy ambaye ameshuka Africa wiki chache zilizopita katika mapumziko yake ya kawaida,hivi sasa ana mpango wa kuwasaidia watoto wenye vipaji vya mpira kimataifa.hapo ni Bujumbura Burundi.
Kikosi kamili kinachoundwa ili kutoa vipaji vya uhakika duniani.