Kuna baadhi ya nchi duniani wanawake huwa hawaonewi kirahisi tena huwa wana ushirikiano wa pamoja pindi kunapotokea jambo ambalo wanahisi kuonewa.Pichani kama unavyojionea baadhi ya kina mama wakishirikiana kupamba na mmoja wa wanausalama nchini India walipohisi kuonewa.